Mbunge wa Mwingi ya Kati Mulyungi amtaka Rais Ruto kutimiza ahadi ya ujenzi wa daraja la mto Enziu

  • | TV 47
    27 views

    Mbunge wa Mwingi ya Kati Mulyungi amtaka Rais Ruto kutimiza ahadi.

    Ujenzi wa daraja la mto Enziu miaka tatu baadaye bado haujakamilika.

    Rais Ruto vile vile aliahidi wakazi wa Mwingi kaunti mpya ya Mwingi.

    Ujenzi wa barabara ya Kibwezi na Kitui vile vile umekwama.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __