Watu saba wanaohusishwa na wizi wa magari katika barabara ya Mombasa-Nairobi wakamatwa

  • | Citizen TV
    2,546 views

    Watu saba ambao ni washukiwa wa visa mbalimbali vya uhalifu ikiwemo wizi wa magari katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Mombasa wanazuiliwa na polisi katika kituo cha Voi baada ya kukamatwa na maafisa wa usalama.