Rais asema habanduki katika azma ya kujenga makanisa

  • | KBC Video
    43 views

    Rais William Ruto amesema hatalegeza kamba katika azma yake ya kuchangia ujenzi wa makanisa humu nchini. Akizungumza wakati wa hafla ya kubariki mafuta katika kanisa la A.I.P.C.A, kaunti ya Meru, kiongozi wa taifa alisema ujenzi wa makanisa ni muhimu sana kwake kama maendeleo mengine yoyote. Matamshi yake yalikaririwa na naibu wake Kithure Kindiki pamoja na viongozi wengine walioambatana naye.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive