Waziri Ruku na katibu Oluga waanza majukumu yao

  • | KBC Video
    243 views

    Waziri mpya wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku, na katibu wa idara ya huduma za matibabu Dkt. Ouma Oluga, walianza rasmi kutekeleza majukumu yao, saa chache baada ya kuapishwa. Ruku alifanya ziara ya ghafla katika kituo cha polisi cha Central jijini Nairobi, kukagua jinsi wananchi wanahudumiwa na maafisa wa serikali, huku Oluga akiandaa kikao na wanahabari na kuahidi kutafuta suluhu kwa changamoto zinazokabili sekta ya afya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive