Siku ya ugonjwa wa damu kukosa kuganda I Mbinu jumuishi zahimizwa kukabili maradhi hayo

  • | KBC Video
    10 views

    Kenya imejiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya ugonjwa wa damu kukosa kuganda almaarufu Haemophilia huku wito ukitolewa wa mbinu jumuishi za kukabili ugonjwa huo nadra. Chama cha kushughulikia maradhi hayo humu nchini kimesema licha ya idadi inayozidi kuongezeka ya visa vya ugonjwa wa Haemophilia, ambao ni wa kinasaba haujapewa umuhimu unaohitajika huku kukiwa na ukosefu wa matibabu pamoja na vituo maalum vya matibabu ya ndwele hiyo humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive