Zaidi ya watu 150,000 wameuwawa Sudan, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    10,790 views
    Nchini Sudan vita vya wenyewe kwa wenyewe vya miaka miwili vimesababisha vifo vya watu 150,000 kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa. Aidha karibia watu milioni 25 wanahitaji msaada wa dharura wa chakula, kwa mujibu wa shirika lisilo la kiserikali la Action Against Hunger. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw