Wakristo waadhimisha Pasaka kote duniani, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    10,965 views
    Leo ni Ijumaa Kuu, na matukio ya Pasaka yanaendelea kote ulimwenguni. Pasaka ni tukio muhimu zaidi katika kalenda ya Kikristo, kuadhimisha ufufuo wa Yesu Kristo siku tatu baada ya kusulubiwa kwake. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw