Rais Ruto awaomba magavana kuwacha kung'ang'a nia fedha za kukarabati barabara

  • | Citizen TV
    4,263 views

    Rais William Ruto amezamia vuta nikuvute kati ya wabunge na magavana kuhusu fedha za uboreshaji wa barabaraba, akiwataka magavana kumpa nafasi kudhibiti fedha hizo. Ras amesema magavana hawana uwezo wa kutengeza barabara zenye udhabiti. Amezungumza alipohudhuria ibada katika kaunti ya narok, ambako pia aliahidi kutoa shilingi milioni 10 za ujenzi wa jengo la kanisa katika kaunti hiyo.