Viongozi wa makanisa watoa wito wa utangamano

  • | Citizen TV
    1,179 views

    Wito wa ushirikiano na kumaliza ufisadi umeshamiri kwenye hotuba nyingi za jumapili ya pasaka sehemu mbalimbali nchini. Askofu mkuu wa kanisa katoliki Anthony Muheria akiongoza wito wa makanisa kwa viongozi kuwajibikia mahitaji ya wakenya waliowachagua. Haya yanajiri huku wakenya wakitakiwa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha wanakabili ufisadi.