Historia ya urithi wa ofisi ya upapa wa Kanisa Katoliki

  • | Citizen TV
    980 views

    Kutoka kwa mvuvi wa kawaida hadi kuwa kiongozi anayeheshimiwa kote ulimwenguni, historia ya upapa ni simulizi ya imani, ustahimilivu, na kumbukumbu ya zaidi ya miaka elfu mbili