Ahadi za Kazi za Ughaibuni

  • | Citizen TV
    313 views

    Kamati ya Seneti kuhusu Leba na maslahi ya jamii inakutana na wawakilishi 89 wa vijana waliosajiliwa kwenye mpango wa ajira za ughaibuni na wizara ya leba. inaarifiwa kuwa vijana hao walilipa mamilioni ya pesa lakini hadi kufikia sasa hawajapelekwa ng'ambo kufanya kazi walizoahidiwa.