3 Nov 2025 10:51 am | Citizen TV 337 views Duration: 1:45 Wakazi wa kaunti ya Nyamira wamewashtumu baadhi ya wawaniaji wa chaguzi ndogo pamoja na wafuasi wao kwa madai ya kuendesha kampeni zenye vurugu, na kuwatumia vibaya vijana hata uchaguzi unapokaribia.