3 Nov 2025 10:54 am | Citizen TV 280 views Duration: 1:25 Kundi moja la vijana katika kaunti ya Nyeri linaitaka tume ya uchaguzi nchini IEBC kupeleka huduma za usajili karibu na wananchi likisema zoezi hilo halijaweza kuwafikia watu wengi haswa walio vijijini.