Samia Suluhu: Kama alivyowahi kusema hayati Benjamin Mkapa, "Nawashukuru watazamaji wa kimataifa kuja kushuhudia uchaguzi wetu, walipotusifu tumepokea sifa hizo kwa unyenyekevu mkubwa, tumesikia pia waliodhani hayakwenda sawa na mengine hata sisi wenyewe tumeyaona. Maagizo ya kutuelekeza nini cha kufanya, tumeyakataa. Ushauri wao tutauzingatia ili tufanye vizuri zaidi siku zijazo."
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive