- 1,178 viewsDuration: 28sWakenya 90,020 wamejiandikisha kama wapiga kura kwenye shughuli inayoendelea ya kuwasajili wapiga kura. Kaunti za Nairobi, Kiambu na Machakos zinaongoza kwa wingi wa wapiga kura wapya waliosajiliwa. Kufikia mwishoni mwa mwezi uliopita, wapiga kura 15,619 walikuwa wamehamisha vituo vyao vya kupiga kura, idadi kubwa zaidi ikinakiliwa katika kaunti za Nairobi, Mombasa na Kiambu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive