Skip to main content
Skip to main content

Idadi ya wanafunzi shuleni Mandera yaongezeka baada ya mpango wa elimu bila malipo kuzinduliwa

  • | KBC Video
    181 views
    Duration: 3:00
    Usajili wa wanafunzi shuleni katika kaunti ya Mandera umeongezeka maradufu baada ya serikali ya kaunti kuanzisha mpango wa elimu bila malipo katika shule zote za umma. Idadi ya wanafunzi waliojisajili imeongezeka kwa asilimia 70 tangu kuanzishwa kwa mpango huo miaka mitatu iliyopita. Kupitia mpango huo, wanafunzi wa shule za upili hawalipi karo yoyote ya shule, huku wale wa vyuo wakilipa nusu ya karo inayohitajika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive