- 312 viewsDuration: 5:23Tume ya kupambana na ufisadi pamoja na washikadau wengine wa uchunguzi kutoka Afrika Mashariki na Kusini, wanakutana hapa jijini Nairobiutoka Afrika Mashariki na Kusini, kuangazia mikakati ya kukomesha ufisadi na hasa ulanguzi wa pesa.