11 Nov 2025 10:43 am | Citizen TV 299 views Duration: 1:40 Wadau katika sekta ya elimu wametoa wito kwa wazazi wote nchini kuwa waangalifu msimu huu wa likizo ndefu hususan kufuatia ongezeko la dhulma dhidi ya watoto katika jamii.