- 280 viewsDuration: 3:31Huku mwezi wa novemba ukikusudiwa kuhamasisha umma kuhusu haki za watoto, imebainika kuwa watoto huntha katika jamii wanapuuzwa.idara ya watoto katika kaunti ya Busia imesikitika kuwa watoto hao wanadhulumiwa pakubwa na jamii, licha ya katiba kuwatambua Huntha