- 144 viewsDuration: 7:07Sasa tuelkee kwenye bustani ya Uhuru ambapo maonyesho ya biashara ndogo na za kati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki makala ya 25 yanaendelea. Rais William Ruto anatarajiwa kufungua rasmi hafla hiyo ya siku tatu na sasa tunajiunga na mwandishi wetu wa biashara