- 290 viewsDuration: 5:16Kuongezeka kwa visa vya ajali kwenye Barabara ya Kutoka Loitokitok hadi Emali kaunti za kajiado na makueni , kumewachochea Maafisa wa Polisi Kwa ushirikiano na Viongozi wa makanisa kuandaa matembezi Kutoka mji wa Ilasiti hadi mji wa Kimana kuhamasisha Umma kuhusu Usalama wa Barabarani.