- 310 viewsDuration: 1:30Siku chache baada ya Rais William Ruto kuzindua rasmi Mradi wa Nyota, Mbunge wa Saboti, Caleb Amisi, ameikosoa serikali ya Kenya Kwanza akidai kuwa mradi huo haukufanywa kwa nia ya kuwanufaisha vijana kama inavyodaiwa, bali ni mbinu ya kisiasa ya kutafuta umaarufu.