Upinzani umeahidi kuendelea kuwa na umoja kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 na chaguzi ndogo za tarehe 27 mwezi huu. Viongozi hao ambao walijumuisha Rigathi Gachagua wa chama cha DCP, Kalonzo Musyoka wa Wiper na Eugene Wamalwa wa DAP-Kenya, walisema wataamua kiongozi atakayepeperusha bendera ya upinzani kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Walizungumza wakati wa mazishi ya Terry Kariuki, ambaye ni mjane wa marehemu mwanasiasa JM Kariuki katika kaunti ya Nakuru.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive