- 3,784 viewsDuration: 3:31Rais William Ruto alionekana kuweka juhudi za kuwavutia wakazi wa eneo la Ukambani kwa kuzindua kifurushi cha maendeleo cha kima cha shilingi bilioni 13 katika kaunti ya Makueni, na kutoa wito kwa eneo hilo kuasi siasa za upinzani. Akizungumza wakati wa siku ya kwanza ya ziara ya kikazi katika eneo hilo, Ruto alisema ni lazima eneo la Ukambani liwe sehemu ya ajenda ya serikali ya maendeleo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive