Kenya imezindua mpango mpya wa mafunzo kuhusu Akili Mnemba kwa ushirikiano na kampuni ya Google, ikiwalenga wanafunzi wa vyuo vikuu kama sehemu ya kukuza nguvukazi iliyo tayari kujitosa kwenye uwanda wa uchumi wa kidijitali. Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali William Kabogo amesema hatua hiyo itatoa fursa kwa wanafunzi kupata huduma za mpango wa Google Gemini Pro Plan, ambao hutoa mafunzo kuhusu programu kama vile DeepResearch na NotebookLM kwa miezi 12 bila malipo. Zifuatazo ni taarifa za biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive