Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto: Ukambani haitakaa upinzani tena. Kwa mapenzi ya Mungu lazima tuunde serikali pamoja.

  • | KBC Video
    205 views
    Duration: 2:48
    Rais Ruto: Hii Kenya ni ya watu wote, hakuna mambo ya shares hapa. Kenya ni ya kila mtu. Hakuna ubaguzi. Kama kuna watu wazuri nimeona Kenya hii, ni watu wa Ukambani. Msifanyiwe siasa ya karata. Ukambani haitakaa upinzani tena. Kwa mapenzi ya Mungu lazima tuunde serikali pamoja. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive