Skip to main content
Skip to main content

Ukabila wa ajira serikalini wazidi kutishia utangamano – NCIC

  • | Citizen TV
    1,528 views
    Duration: 3:42
    Kabila tano kuu nchini zinashikilia zaidi ya asilimia 80 ya nafasi za kazi serikalini. Ripoti ya Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa NCIC ikionyesha kuwa, jamii za Wakikuyu, Wakalenjin, Waluo, Waluhya na Wakamba pia zinashikilia asilimia 90 ya kazi za ngazi ya juu serikalini, kabila nyingine zote zikikosa usawa. Sasa NCIC inaonya kuwa, kukita mizizi kwa ukabila kwenye ajira za serika kunazidi kutishia utangamano wa kitaifa