Skip to main content
Skip to main content

ODM imuidhinisha Obura Odinga kuwa kinara wa chama

  • | Citizen TV
    3,236 views
    Duration: 2:13
    Barraza kuu la chama cha ODM limemuidhinisha rasmi seneta wa Siaya Obura Odinga kuwa kinara wa chama hicho. Uamuzi huu ulifanyika katika mkutano maalum ulioandaliwa jijini Mombasa ambapo chama hicho kimeandaa hafla maalum ya kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake na hayati Raila Odinga