13 Nov 2025 7:23 pm | Citizen TV 1,023 views Duration: 1:18 Rais William Ruto amewarai wakenya kuwapuuza viongozi wanaoeneza siasa za umaskini na chuki, akisema wanaompinga hawana maono ila wanaeneza tu chuki na ukabila.