13 Nov 2025 7:26 pm | Citizen TV 2,282 views Duration: 42s Bunge la Tanzania limemuidhinisha Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasilisha jina lake bungeni