- 1,484 viewsDuration: 3:06Kampuni ya kuzalisha umeme kwa kutumia upepo inatarajia kuongeza uzalishaji wa umme kwa megawati 100.Hatua hiyo inalenga kuongeza uzalishaji wa umeme hadi megawati 200, katika hatua ambayo inalenga kuongeza usambazaji wa umeme kutoka nyumba laki mbili unusu hadi nyumba laki tano