- 639 viewsDuration: 1:39Muungano wa viongozi wa makanisa kule Malindi na kaunti ya Kilifi umeanzisha kampeni ya amani miongoni mwa wakaazi. Viongozi hao wamewataka viongozi wa kisiasa kuacha tamaa na badala yake kuhakikisha kuwa nchi inasalia tulivu.