14 Nov 2025 10:23 am | Citizen TV 1,181 views Duration: 1:23 Familia ya mlinzi aliyeuwawa akiwa kazini eneo bunge la Tongaren, Bungoma imeelezea kutoridhishwa na jinsi idara ya upelelezi inavyoendeleza uchunguzi kufuatia mauaji hayo ya kinyama.