- 428 viewsDuration: 2:18Tume ya uchaguzi na mipaka nchini -IEBC- imetoa onyo kali kwa wagombea wa viti mbalimbali katika chaguzi ndogo zilizopangiwa kufanyika tarehe 27 mwezi huu, kuwa watachukuliwa hatua kali za kisheria ikiwemo kuondolewa kwenye orodha ya wagombea iwapo watavuruga amani.