- 657 viewsDuration: 2:58Sherehe za kuadhimisha miaka ishirini tangu chama cha ODM kuanzishwa zinazidi kunoga katika kaunti ya Mombasa huku viongozi wakuu wa chama hicho wakiendesha shamrasharma katika maeneo mbalimbali. Rais William Ruto anatarajiwa kuhudhuria dhifa ya waanzilishi wa chama hicho hapo kesho.