Skip to main content
Skip to main content

Mwenyekiti wa kudhibiti bidhaa gushi Josphat Gichunge akamatwa na EACC

  • | Citizen TV
    2,008 views
    Duration: 1:07
    Maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi nchini - EACC wamemkamata mwenyekiti wa halmashauri ya kudhibiti bidhaa gushi nchini Josphat Gichunge Kabeabea kwa madai ya kuhusika katika visa kadhaa vya ufisadi