14 Nov 2025 1:26 pm | Citizen TV 649 views Duration: 1:51 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, amemwapisha rasmi Mwigulu Nchemba kuwa waziri mkuu mpya wa tanzania kwa muhula wa kwanza wa miaka mitano.