14 Nov 2025 1:30 pm | Citizen TV 3,713 views Duration: 1:30 Raia wa uholanzi aliyekamatwa na kuzuiliwa mwezi jana baada ya kuwadhalilisha maafisa wa polisi wa Diani kaunti ya Kwale, amewachiliwa huru bila mashtaka yeyote.