14 Nov 2025 1:32 pm | Citizen TV 187 views Duration: 2:09 Wizara ya elimu imevitaka vyuo vikuu nchini kuanza kujitayarisha kwa mfumo wa elimu wa CBE, huku wanafunzi wa kwanza katika mfumo huo wakitarajiwa kuingia gredi ya kumi mwaka ujao.