14 Nov 2025 1:39 pm | Citizen TV 175 views Duration: 52s Mahakama ya Kitale inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu iwapo mume wa mwanamke aliyetoweka, Carolina Mokeira, ataachiliwa huru baada ya kushikiliwa kwa siku kumi ili kuipa polisi nafasi ya kukamilisha uchunguzi.