- 317 viewsDuration: 1:44Shughuli ya kutafuta miili ya watu tisa ambao bado hawajapatikana hadi sasa inandelea katika eneo la Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet, huku Wito ukizidi kutolewa kwa serikali na mashirika kuendelea kutoa msaada kwa waathiriwa wa mkasa wa maporomoko ya udongo.