Skip to main content
Skip to main content

Shamrashamra za Inooro @10

  • | Citizen TV
    125 views
    Duration: 9:59
    Shamrashamra za kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwa runinga ya Inooro zinaendelea katika ukanda wa Kati. Wakazi wa kaunti za Embu, Kirinyaga na Nyeri wamepata nafasi ya kipekee kupokea uhondo huo unaoongozwa na watangazaji wa Inooro TV. Kampuni ya Royal Media Services imeandaa shughuli hizi ili kutoa shukran kwa watazamaji wa Inooro TV, ambao wameiweka runinga hii inayopeperusha matangazo yake kwa lugha ya Kikuyu kileleni. Tamati ya Sherehe hizo itakuwa miondoko ya mugithi katika Kaunti ya Nyeri leo jioni.