- 123 viewsDuration: 2:24Serikali ya Kaunti ya Makueni imezindua Sera Mpya inayotoa mwongozo wa ushirikiano kati ya serikali ya kaunti hiyo na wawekezaji kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo. Gavana wa kaunti hiyo Mutula Kilonzo Jr anasema mashirika sasa yana nafasi kubwa ya kushirikisha kaunti kwenye miradi hususan sasa ambapo mgao wa pesa za kaunti unachelewa kila mara.