Skip to main content
Skip to main content

Wadau wana wasiwasi wao kuhusu usalama wa wanafunzi Samburu

  • | Citizen TV
    274 views
    Duration: 3:07
    Wadau wanaopigania kukomeshwa kwa dhulma za kijinsia Kaunti ya Samburu, wameelezea wasiwasi wao kuhusu usalama wa wanafunzi haswa wakati huu wa likizo ndefu. Wadau hao wanawashirikisha wanafunzi kwenye mafunzo mbalimbali ikiwemo ya afya ya uzazi ili kukomesha visa hivyo.