- 194 viewsDuration: 1:51Wakulima wa kahawa vijijini Gititu, thage-ini na Wachuri Huko Tetu kaunti ya Nyeri, wamelalamikia utepetevu wa asasi za usalama kuwasaka na kuwakamata watu wanaoendelea kuwahangaisha kwa kuiba kahawa mashambani kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.