Skip to main content
Skip to main content

Uzalishaji wa umme kuongezeka kwa megawati 100

  • | Citizen TV
    392 views
    Duration: 3:02
    Kampuni ya kuzalisha umeme kwa kutumia Upepo inatarajia kuongeza Uzalishaji wa umme kwa megawati 100. Hatua hiyo inalenga kuongeza uzalishaji wa umeme hadi megawati 200, katika hatua ambayo inalenga kuongeza usambazaji wa umeme kutoka nyumba laki mbili unusu hadi nyumba laki tano.