Skip to main content
Skip to main content

Familia ya mlinzi wa wakulima wa kahawa Bungoma yasusia mazishi bila haki

  • | KTN News
    292 views
    Duration: 2:10
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Familia ya mwanamume aliyekuwa mlinzi wa Shirika la Wakulima wa Kahawa la Makhanga katika kijiji cha Sirende, eneo bunge la Tongaren, Kaunti ya Bungoma, aliyeuawa kinyama Jumatatu iliyopita, imeelezea kutoridhishwa na jinsi Idara ya Upelelezi inavyoendeleza uchunguzi. Familia hiyo inataka uchunguzi wa kina kufanywa ili ipate haki kabla ya kuandaa hafla ya mazishi ya jamaa wao. Mjane wa mlinzi huyo, Elizabeth Wanyonyi, na wanawe wameitaka Idara ya DCI kufanya uchunguzi wa kina kuhusu mauaji hayo. Familia hiyo imesikitishwa na jinsi usimamizi wa shirika la wakulima la Makhanga unavyoharakisha mipango ya mazishi bila kuhusisha familia ya marehemu. Familia hiyo imesema haitakubali kushawishika kumzika mzee huyo kabla ya haki kupatikana Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews