- 11 viewsDuration: 1:54Serikali ya Kaunti ya Migori imehimizwa kuongeza ufadhili kwa idara ya afya ili kuimarisha utekelezaji wa huduma za afya za kiMsingi katika eneo hilo.Wito huo ulitolewa wakati wa kambi ya matibabu katika Hospitali ya Oruba DIP, ambapo kundi la wataalamu wa afya walitoa huduma muhimu za kiafya kwa wakazi kutoka mitaa iliyo na idadi kubwa ya watu mjini Migori. Wadau wa afya na viongozi wa jamii walipongeza hatua hiyo wakitaka mipango zaidi iwekwe ili kuimarisha huduma za kinga dhidi ya magonjwa na uchunguzi wa mapema wa magonjwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive