Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Kiambu yafadhaishwa na ongezeko la ajali za barabarani

  • | KBC Video
    18 views
    Duration: 1:46
    Maafisa wa serikali ya kaunti ya Kiambu wamefadhaishwa na ongezeko la visa vya ajali za barabarani, zinazosababisha mafa makubwa ikikisia zinasababishwa na madereva wanaoendesha magari kwa mwendo wa kasi au wanaotembea kwa miguu kutozingatia vivukio vilivyotengwa. Meneja wa Halmashauri ya kitaifa ya uchukuzi na usalama wa Barabara (NTSA), eneo hilo, Kendi Mutuma, alisema ajali nyingi zimenakiliwa kwenye barabra ya Thika Superhighway na sehemu za barabara ya kutoka Nairobi kuelekea Nakuru. Pia ilibainika kuwa licha ya kuwepo kwa madaraja ya kutumiwa na wanaotembea kwa miguu kwenye barabara hizo, watu wengi bado hukaidi sheria za barabarani na kuvukia barabara kwenye maeneo yasiyo salama, hatua zinazocjhangia ongezeko la ajali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive