Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Kilifi yachukua hatua kukabili janga hilo

  • | KBC Video
    26 views
    Duration: 1:43
    Serikali ya kaunti ya Kilifi ina wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa visa vya dhulma za kijinsia na mimba za utotoni licha ya jitihada za kudhibiti keri hilo.Viongozi wa eneo hilo sasa wamegeukia mpango mpya utakaogharimu shilingi bilioni 2.3 unaodhamiriwa kuleta matumaini mapya kwa wasichana na wanawake katika eneo hilo. Mpango huo uliopewa jina Hatua kwa Afya ya Uzazi na Haki za Kijinsia, unaofadhiliwa na Serikali ya Canada unalenga kupunguza mimba za mapema na kuboresha upatikanaji wa huduma za afya ya uzazi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive